MJUE SANA MUNGU,ILI UWE NA AMANI, NDIVYO MEMA YATAKAVYOKUIJIA

TAHADHARI KWA WAKRISTO WA SIKU ZA MWISHO.

 


Alama ya mnyama, ni tukio  la mwisho ambalo Shetani kaliandaa kwa ustadi na ubunifu mkubwa ambao ubunifu huo hajawahi kutoa kwa mtu au mshilika wake, kwani hii ndo mbinu  yake ya mwisho ya kuudanganya ulimwengu mzima  uwe upande wake badala ya kristo.

Alama ya mnyama itavaa sura kuu tano kama ifuatavyo

1. Alama ya mnyama, itavaa sura ya "UCHUMI",kwa kadri siku zinavyokwenda uchumi wa dunia unaonekana kuendelea kushuka na hakuna dalili ya kuinuka, mwisho wa kunusuru uchumi wa dunia ulimwendu utaamua kutengeneza umoja wa dunuia ili kunusuru hali ya dunia kwa kutangaza siku moja ya kupumuzika soma "BLUE SUNDAY LAW" na kuongeza masaa ya kufanya kazi.

2.Alama ya mnyma itavaa sura ya "ISHARA NA MIUJIZA" moja kati ya vitu hatari sana kwa wakristo wa kisasa ni suara la ishara na miujiza na hii imekuwa changamoto kubwa sana  kwa wakristo, baadhi ya wachungaji,waijisti,maasikofu,na manabii ni mawakala wa mvovu,waliopewa nguvu na joka kwa ajiri ya kueneza uongo, soma 

                ufunuo 16:13-14

3Kisha, nikaona pepo wabaya watatu walio kama vyura, wakitoka kinywani mwa yule joka, kinywani mwa yule mnyama na kinywani mwa yule nabii wa uongo. 14Hawa ndio roho za pepo wafanyao miujiza. Ndio wanaokwenda kwa wafalme wa ulimwengu wote na kuwakusanya pamoja kwa ajili ya vita ya ile siku kubwa ya Mungu Mwenye.

3.Alama ya mnyama itavaa  sura ya "BADIRIKO LA TABIA YA NCHI," wanasayansi na wasomi wote waefanya utafiti ya juu kinacho sababisha global climate change wameshindwa na badala yake wamemkabidhi papa kuainisha sababu na kutoa solution ili kuikoa dunia na solution alilolitoa ni wanadamu wote kurudi kwenye msingi ya kutunza  SABATO YA JUMAPILI ili MUNGU aweza kusamehe wakazi wa dunia soma  LAUDATO SI'  kipengele cha  SACRAMENTAL SIGNS AND THE CELEBRATION OF REST [233-237].


somo hili litaendelea kwa kina zaidi sehemu ya  pili, usikose karibu sana.

Subscribe to receive free email updates: