MJUE SANA MUNGU,ILI UWE NA AMANI, NDIVYO MEMA YATAKAVYOKUIJIA

SHUJAA WA KARINE ZOTE

Ulimwengu umeshuhudia mashuja wengi sana wametokea na wamefanya menge sana,ambayo hadi leo kumbumbu zao zimetunzwa vizazi na vizazi, leo tena nakuletea mashujaa mashuhuri watatu ambao wamegeuza ulimwengu kupitia mafundisho yao, mashujaa hawa ni 1.GAUTAMA BUDHA Huyu alizaliwa karine ya sita BC katika nchi ya Nepali{Lumbini} ana wafuasi wasiopungua milion 535 duniani ambapo kimsingi anaunda %10 ya idadi ya watu duniani, baada ya miaka 80 alikufa ule mwaka wa 483 B.C ALIZIKWA NA KABLI LAKE LIPO HADI LEO NA MENO YAKE YAMETUNZWA NA YAPO HADI LEO. 2.MHAMMAD BIN `ABD ALLAH `BIN ABD AL-MUTTALIB AL-HASHIMI` Huyu alizaliwa tarehe 17 mwezi wa Rabiiul awwal, mwaka wa tembo sawa na mwaka 571, Alizaliwa katika mji wa makkatul mukarramah ulioko katika nchi ya Saudi Arabia ali pewa rasmi utume tarehe 27 mwezi wa rajab katika mji wa makka baada ya kutimiza miaka 40 ya umri wake mtukufu anawafusi bilioni 1.9 duniani anaunda asilimia 24.7%.ya idadi ya watu duniani. Ali ishi kwa muda wa miaka 63, utume wake ulidumu kwa muda wa miaka 23, Alifariki dunia tarehe 28 mwezi wa safar mwaka wa 11 hijiria, Alizikiwa katika mji wa madina ndani ya nyumba yake tukufu, KABURI LAKE LIPO HADI LEO NA LINALINDWA KWA ULINZI MKALI SANA. 3.YESU KRISTO. Huyu kuzaliwa kwake kuritabiliwa tangu enzi na enzi Tunaposoma maandiko matakatifu tunaona kuzaliwa kwa YESU Kristo kulitabiliwa takribani miaka 400 kabla ya kuzaliwa kwenyewe. Isaya 9:6 [6]Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. Utabiri unasema tumepewa mtoto mwenye Sifa zifuatazo: 1. Kwanza kabisa ni Mtoto mwenye Jinsia ya kiume 2. Uwezo wa kifalme (maana yake sifa zote za kifalme;) utakuwa mabegani mwake 3. Jina lake Ataitwa; ➖Mshauri wa ajabu ➖ Mungu mwenye Nguvu ➖ Baba wa Milele ➖ Mfalme wa Amani alizaliwa mwaka wa 4 B.C.na alibatizwa mwaka wa 27 A.D amefanya kazi kwa mda wa miaka 3 na nusu tu huyu SHUJAA alikufa mwaka wa 32 A.D LAKINI BAADA YA SIKU TATU ALIFUFUKA, KABURI LAKE LIPO WAZI DADI LEO, MAUTI NA KUZIMU VILISHINDWA KUMZUIA, wafuasi wake huitwa wakristo kwa sababu yeye walimuita pia kristo hivyo wafuasi wake huitwa wakristo, soma yohana 4:29,Wafuasi wake wako jumla ya watu bilioni 2.382 ambayo ni sawa na 31.11% ya idadi ya watu duniani. HABARI NJEMA NI HII YESU KRISTO YUPO HAI MILELE NA MILELE, NA KILA ANAYE MWAMINI YEYE YUNA UZIMA WA MILELENAYE AKUWA HAI MILELE NA MLELE Yohana 3:16-18, huyu ndiye SHUJAA WA KARINE ZOTE, RAFIKI NAKUPENDEKEZEA LEO MWAMINI YESU ILI UWE NA UZIMA WA MILELE, SHUJAA WA KARINE ZOTE ATARUDI TENA, NA SIYO MBALI MDA SI MREFU TUTAMONA AKISHUKA KUTOKA MBINGUNI KUJA KUTUCHUKUA KWENDA MBINGUNI YOHANA14:14-16 KWANINI USIWE SEHEMU YA UPANDE WAKE, MIMI NACHAGUA KUWA UPANDE WAKE WEWE JE? CHAGUA HIVI LEO MAANAYUPO MLANGONI ANABISHA HODI. BARIKIWA SANA NAPATIKANA KWA MAWASLIANAO YA 0763371047 AMA pshibita@gmail.com kwa maswali na dukuduku karibu tujifunze.

Subscribe to receive free email updates: