Je! kuna matatizo yanayokutesa na umekosa majibu, umeenda hospitari, kwa waganga mbalimbali, umetafuta msaada kwa wanadamu lakini umekosa na umekataa tama, mpaka sasa umeacha iwe itakavyo kuwa!
USIKATE TAMAA!WANADAMU WANAMIPAKA, KWASABABU WAO NI WAO NI WANADAMU, LAKINI HABARI NJEMA NI HII
YUPO MUNGU ASIYEZUILIWA NA KITU CHOCHOTE NA ANAWEZA KUFANYA CHOCHOTE KWA KUWA HAKUNA NENO LISILOWEZEKENA KWA MUNGU LUKA 1:37
WITO HUU NI KWA AJIRI YAKO MPENDWA.,
28 “Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. 29 Jifungeni nira yangu; jifunzeni kutoka kwangu; kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu. 30 Kwa maana nira yangu ni rahisi, na mzigo wangu ni mwepesi.