MJUE SANA MUNGU,ILI UWE NA AMANI, NDIVYO MEMA YATAKAVYOKUIJIA

MTAMBUE MNYAMA ANAYEKWENDA KUABUDIWA, LITAMBUE NA KANISA LAKE.

TUKIO KUU LINAUIJIA ULIMWENGU



Ndugu msomaji nakualika katika somo hili ambalo MUNGU imempendeza leo tujifunze mambo makuu ambayo manabii wa kale walionyeshwa kuwa yatatokea ulimwenguni na walitamani sana kuyaona lakin leo mambo hayo yanatimia mbele ya macho yetu.,Hivyo katika somo hili tutajifunza mambo kadhaa kuhusu.

-Historia ya wanyama {watawala} mbalimbali ambao walitawla dunia katika nyakati mbalimbali.
-Mambo ambayo yaliyotendwa/yatakayotendwa na watawala hao
-matokeo ya watawla hao dhidi ya sheria ya MUNGU
-Mafumbo ya kimaneno katika unabii kuhusu watawala hao
-tujifunza mafumbo ya tabia ya kila mnyama{watawala}ambao walitawala na mwisho tutatambua mnyama anayekwenda kuabudiwa na jinsi atakavyoabudiwa ulimwenguni
-maana ya mama wa makahaba
-mafundisho ya uongo ya mama huyuambayo yamelevya dunia yote

lipo tukio ambalo iltatoke ulimwenguni linahusisha ibaada ambayo imeadaliwa na mnyama{utawala maandiko yansema}
kisha nikaona mnyama akitoka katikati ya bahari,mwenye pembe kumi na vichwa saba, najuu ya pembe zake ana velemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru. na yule mnyama nilyemona alikuwa mfano wa chui, na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu na kinywa chake kama kinywa cha simba, yule joka akampa nguvu zake na kiti chake  cha enzi na uwezo wake... Dunia yote ikamstajabia mnyama yule,...nao wakamsujudia yule mnyama...na watu wote wakao juu ya nchi watamsujidia kila ambaye jina lake hailikuandikwa katika kitabu cha uzima...? ufuno13:1-8




Hili ndilo tukio kuu linauijia ulimwengu,wanadamu wote sasa wanaenda kuacha ibaada kwa MUNGU wao wa mbinguni na kumwabudu mnyama huyu wa ufunuo 13:1-8, na ibaada hii itahusisha kila mtu bila kujari taifa, dini, langi na dhehebu ispokuwa wacha MUNGU tuu je! umejiandaaje?

 lakini MUNGU ametoa ole kwa wale wote watakaohusika na ibaada ya hii ya kumwabudu mnyama wa ufunuo 13:1-8.MUNGU atatoa hukumu juu yao na ingependeza sana kama wahubiri pamoja na wachugaji wa leo wangehubiri ujumbe huu na kulitangaza onyo hili la MUNGU na kuwaonya watu wajiepushe na ibaada ya kumwabudu mnyama ili hukumu ya MUNGU isishuke juu yao na ili tuepukane na hukumu hii  ni lazima kwanza tufahamu huyu mnyama ninani na ataabudiwaje na ili tumfamu vizuri ni lazima tuanze kwa na kitabu cha Daniel. nabii Daniel alioneshwa mambo mengi yaliyotukia, yanayotukia na yatakayotukia ambayo hayo ndiyo yanayoungana kitabu cha ufunuo
 tuanze na Daniel 7:1.

. MAANDIKO YANASEMA
Daniel akanena akisema naliona maono katika maono yangu ya  usiku natazama  pepo nne za mbinguni zilivuma kwa nguvu juu ya bahali kubwa ndipo  wanyama wakubwa wa nne wakitoka baharini mkato wanamna mbalimbali wa kwanza alikwa kama simba naye alikuwa na mabawa ya tai ni katazama hata mabawa yake yakafutuka manyoa akainuliwa katika nchi.. ,na tazama mnyama mwingine wa pili kama dubu ,.. kisha nikatazama nakumbe mnya mwingine kama chui ..baadaye nikaona katika jonsi ya usiku mnya mwingine nne mwenye kutisha mwenye nguvu mwenye uwezo mwingi naye alikuwa na meno ya chuma makubwa sana alikula na kuvunja vipandevipande..,naye alikuwa na pembe kumi nikaziangalia sana pembe zake pembe nyingine ikazuka nayo ilikuwa ndogo ambayo mbele yake pembe tatu kati ya zile za kwanza zikang`olewa kabisa  na tazama katika pembe hiyo mulikuwa na macho kama macho ya mwanadamu na kinywa kilichokuwa kikinena maneno ya makufuru fungu la 21 , nikatazama na pembe hiyo iyo hiyo ilifanya vita na watakatifu na kuwashinda 



Katika sura ya saba ya kitabu cha Daniel tunaona kuwa nabii Daniel aloneshwa upepo ukivuma kwa nguvu juu ya bahari baada yahapo akaona wanyama wa nne wakitoka baharini mambo haya aliyaaona Daniel pamoja na manabii wengine yana maana yake, mMUNGU alisema kwa mafumbo, ,mfano  na akatoa majibu yake ndani ya neno lake biblia nukuta na biblia inasema kuna ,:" tena nimenene na hao manabii nameongeza maono kwa utumishe Hosea12;10

Baadhi yamaneno ambayo ambayo yametumika kama mifano  katika unabii huu kuwakilisha maana katika Biblia;



PEPO    =   Nimashambulizi ya vita.Soma Daniel 11:40,Yeremia4:11-13...

BAHARI    =.  Nijamaa,makutano,lugha namataifa soma Isaya17:12-13,Ufunuo17:15.

MNYAMA                                 =          Ni Ufalme au utawala .soma Daniel7:15-17.

PEMBE.             =               Ni Ufalme, soma Ufunuo17:12


Kwa maana hiyo ,Daniel aliona vita ikipiganwa  juu ya mataifa mbalimbali duniani, baada ya hapo ndiyo akaona Tawala [Wanyama] zikitawala duniani,zikipinduana moja baada ya nyingine.


Mnyama wa 1 au utawala  wa 1 ulifananishwa na simba ambao niutawala wa  Babeli chini ufalme wa Nebukadreza Yeremia 50:43-44, vilevile utawala huu ulionekana ukiwa na mabawa ya Tai ,maana yake soma Habakuki1:6-8 mabawa yaliwakilisha wepesi wa kiiteka dunia na kuitawala sasa dunia nzima ilikuwa chini ya utawala wa babeli. Katika utawala huu walikwepo watu wacha  MUNGU dunnia waisrel ambao MUNGU aliwwachagua soma kumbukumbu la torati 7:6-8 Zaburi 135:4.
Kwakuwa shetani ni mpinzani wa MUNGU na hataki kuona watu wanamtafuta MUNGU ili waje waokolewe sasa shetani alihitaji ku.utumia utawala huu wa babel ili watu wote wa muasi MUNGU na kuvunja sheria yake  yaana amri kumi shetani alihitaji kuleta ibada ya ajabu hapa dunia inayopingana ana sheria ya MUNGU anatakapoasimamisha ibada ahiyo, ni akinani watakao mpinga shetani aligundundua kuwa  a 

Subscribe to receive free email updates: