Mashindano ya Qur'ani Tukufu yamefanyika tena nchini Uganda katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kama ilivyokuwa mwaka jana. Mashindano hayo yanadhaminiwa na kusimamiwa na ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Kampala.
Kwa maelezo zaidi kuhusu mashindano ya Qur'ani Tukufu