MJUE SANA MUNGU,ILI UWE NA AMANI, NDIVYO MEMA YATAKAVYOKUIJIA

ENTERTAINMENT Nimekusogezea Pichaz12 za uwanja wa ndege Kigoma ziko hapa.

by charles shibita


ENTERTAINMENT

Nimekusogezea Pichaz12 za uwanja wa ndege Kigoma ziko hapa




Usafiri wa Ndege ni moja ya usafiri ambao kwa sasa unazidi kuwa nafuu na pia wa haraka ambao watu wengi hupendelea kuutumia… kwa mfano badala ya kusafiri Dar es salaammpaka Kigoma kwa bus ili kuepusha kuumia muda mwingi kama ilivyo zamani kwa sasa ni rahisi na haraka kwakutumia usafiri wa anga.
Ni jambo la kawaida kwa sasa kwa kila Mkoa kuwa na uwanja wa Ndege na hii ni kwa mikoa yenye maendeleo na moja ya mikoa yenye viwanja vya ndege ni pamoja na Mkoa wa Kigoma,
Uwanja huu unatumika na watu mbali mbali wakiwemo wageni wanaotoka nje ya Inch Uwanja upo Kigoma Mjini maeneo ya Katubuka
Screen Shot 2015-10-12 at 8.00.07 PM
Picha iliyopigwa kwa juu ikionyesha eneo la uwanja
Screen Shot 2015-10-12 at 8.00.13 PM

Screen Shot 2015-10-12 at 8.00.25 PM
Screen Shot 2015-10-12 at 8.00.31 PM
Hili ndio eneo linalotumika kutoka nje ya Uwanja kwa wageni wanao wasili
Screen Shot 2015-10-12 at 8.00.36 PM
Screen Shot 2015-10-12 at 8.00.43 PM
Screen Shot 2015-10-12 at 8.00.49 PM
Screen Shot 2015-10-12 at 8.00.54 PM
Jengo maalum kwa ajili ya wageni wanao wasili
Screen Shot 2015-10-12 at 8.00.59 PM
Jengo lingine lenye ukumbi kwaajili ya abiria wanaosafiri
Screen Shot 2015-10-12 at 8.01.05 PM
Screen Shot 2015-10-12 at 8.01.17 PM
Hili ndio eneo la nje ya uwanja sehemu inayotumika kwa wageni wanao wasili pamoja na wale wanaotarajia kusafiri
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika shibi tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na  charlse con kwenyeTwitter,FB,Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.

Subscribe to receive free email updates: