MASWALI YA KUJIULIZA NI KAMA HAYA.
NINI MAANA YA KRISTO,.......1
KUNATOFAUTI GANI KATI YA KRISTO NA MKRISTO ?......2
MAJINA KRISTO NA MKRISTO YALIAANZA LINI KUTUMIKA?......3
NA KWANINI KUNA UKRISTO MBALIMBALI.....4
JE? UKRISTO HALISI NI UPI.......5
NINI MAANA YA KRISTO,.......1
Kwa asili ni tamko la imani lenye sehemu mbili: jina "Yesu" na cheo "Kristo".
Katika lugha ya Kigiriki "Yesu Kristo" mara nyingi ni sentensi kamili, maana yake "Yesu ndiye Masiya wa Mungu", yaani Yesu ndiye Masiya aliyetangazwa na manabii wa Agano la Kale na kutazamiwa .
KUNATOFAUTI GANI KATI YA KRISTO NA MKRISTO? ......2
Tofauti kati ya mkristo na kristo ni hili
Mkristo ni mtu anayemwamini Yesu kuwa Kristo au anayefuata dini inayotegemea maisha na mafundisho ya Kristo lakini KRISTO humanisha Masiya au mtiwa mafuta wa Bwana .
MAJINA KRISTO NA MKRISTO YALIAANZA LINI KUTUMIKA?......3
ITAENDELEA.......