MJUE SANA MUNGU,ILI UWE NA AMANI, NDIVYO MEMA YATAKAVYOKUIJIA

YALIYOJILI LEO KITAIFA

Wednesday, October 14, 2015


 na charles shibita


January Makamba Adai Magazeti Yanampendelea LOWASSA Kwa Kumpigia Kampeni


Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba ameonesha kutokubaliana kwake na ripoti za kinachojili kwenye mikutano ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa na kueleza kuwa
Magazeti hutumiwa kupiga kampeni.   Makamba ameeleza hayo kupitia mtandao wa Twitter baada ya mtu mmoja anaetumia jina la ‘Gachanja Muigai’, kumueleza kuwa kutokana na kile wananachokisoma, inaonekana...
Read More

Vanessa Mdee - Never Ever (Official Video)


Vanessa Mdee - Never Ever (Official Video) (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({})...
Read More

MAFURIKO Ya Lowassa Katika Uwanja wa Mnadani Jimbo la Busanda, Mkoani Geita Oktoba 13, 2015.


...
Read More

Magufuli Amaliza Kampeni Zake Mkoa wa Lindi....Aanza Kampeni Mkoa wa Pwani Kwa KISHINDO


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa Lindi na ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwa...
Read More

Mwili wa Dk. Kigoda Kuwasili Nchini Leo.


Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda, unatarajiwa kuwasili leo kutoka nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu na maziko kufanyika kesho. Mwakilishi wa familia, Athumani Mdoe, alisema mwili utawasili leo saa 9:00 alasiri katika Uwanja Ndege  wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kupelekwa katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo...
Read More

Diamond Opens Up About How Fathering Princess Tiffah Has Changed Him


(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Diamond and Zari Hassan’s daughter, Latiffah Nasibu Abdul aka Princess Tiffah has not only made the Dangote’s a tight-knit family but also changed her father’s life in a big way.   Speaking to Tanzania’s leading radio station, Clouds FM, the singer who just bagged three awards at the just concluded 2015 AFRIMMA awards, said that...
Read More

CHADEMA Yawataka Wananchi Kujumulisha Matokeo na Kuyasambaza Badala ya Kusubiri Tume


Chadema imewataka wananchi kujumlisha matokeo yote yatakayotolewa kwenye vituo vya uchaguzi na kuyasambaza badala ya kusubiri kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Akizungumza jana kwenye mkutano wa kampeni Jimbo la Kikwajuni mjini Unguja, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Bara, John Mnyika aliwataka wananchi hao kutoondoka kwenye vituo vya kupigia kura, bali wasubiri hatua 200 kutoka...
Read More

Mzindakaya: Waliohama CCM Wapuuzwe


MWANASIASA mkongwe nchini, Chrisant Mzindakaya amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wagombea wao wa nafasi mbalimbali, wasigombane na waliohama chama hicho kwa kusisitiza kwamba wakifanya hivyo, watakuwa wanakosea. Mzindakaya alisema, CCM ni chama chenye heshima kubwa duniani na chenye Ilani ya Uchaguzi bora, yenye heshima. Alisisitiza kuwa rais bora wa awamu ya tano atatoka katika...
Read More

Serikali Yakanusha Data za Mawasiliano na Umeme Kuzimwa Siku ya Uchaguzi


SERIKALI imeeleza kushangazwa na uzushi kwamba siku ya uchaguzi mkuu, data za mawasiliano pamoja na umeme vitazimwa, jambo ambalo imetaka wananchi kupuuza taarifa hizo potofu. Taarifa hizo ambazo Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameziita ni uzushi, zinadaiwa kutolewa na baadhi ya wanasiasa wa vyama vya upinzani wakidai kwamba serikali imepanga kufanya hivyo...
Read More

Balozi Juma Mwapachu Ajitoa Uanachama wa CCM.......Asema Chama Hicho Kimepoteza Dira


TAMKO RASMI LA BALOZI JUMA V. MWAPACHU. NAJIVUA UANACHAMA WA CCM- October 13 Ndugu zangu, Kesho( LEO ) ni siku muhimu katika kalenda ya Taifa letu. Tunamkumbuka marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetutoka miaka 16 iliyopita. Nadhani ni siku mwafaka kwangu kufanya maamuzi magumu katika maisha yangu ambayo yanahusu uanasiasa wangu.    Mimi ni mwanachama wa...
Read More

Shindano la Serengeti Masta Lawasha Moto Ulaya Ulaya Bar ya Manzese


...
Read More

Pendeza na Markson Products......Wanadawa za Asili za Kuongeza Uuume, Kurefusha Nywele,Kusimamisha Maziwa Yaliyolala n.k


Katika kusherehekea miaka kumi na nne ya kampuni hii tumetoa punguzo kubwa la bei kama shukran kwa wateja wetu. Bidhaa zetu zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara.       TUNAZO ZA:- 1.Kerefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/= 2.Kuongeza shepu (hips na makalio) @120,000/= 3.Kuondoa mvi milele zisirudi @100,000/= 4.Kupunguza unene...
Read More

Tuesday, October 13, 2015


Christopher Ole Sendeka Akerwa na Tabia ya Vijana Kupiga Deki Barabara Ili LOWASSA Apite.......Asema Huo ni Sawa na Utumwa


Mjumbe wa kamati ya kampeni ya chama cha  Mapinduzi, Christopher Ole Sendeka amelaani kitendo cha mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa kuruhusu vijana kusafisha barabara ya lami ili msafara wake upite akidai  kuwa  huo  ni  utumwa. Ole Sendeka  alitoa  kauli  hiyo  jana  wakati  akiwa katika mkutano wa kumnadi mgombea mwenza wa CCM,...
Read More

Magufuli Kasema Chanzo cha Mgao wa Umeme Nchini ni Wagombea Urais wa Upinzani Ambao Wamepiga Dili na Kampuni za Umeme


Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli amesema kuwa tatizo la umeme linaloendelea nchini limesababishwa na baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Mgombea huyo wa CCM aliyasema hayo katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana mkoani Lindi na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wafuasi wa chama hicho, ambapo alisema kuwa baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani ndio chanzo cha tatizo...
Read More

Membe Amtaka Lowassa Aache Kujifananisha na Yesu.......Asema Hana Ubavu wa Kumfufua Balali


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, hana uwezo wa kumfufua aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT),  marehemu Daud Balali. Membe ambaye jana alionekana kwa mara ya kwanza katika kampeni za mgombea...
Read More

Wizara ya Nishati yakanusha habari zinazodai mitambo ya Umeme inamilikiwa na Kampuni binafsi


TAARIFA KWA UMMA Hivi karibuni zimeibuka taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimnukuu Waziri wa Nishati na Madini, George B. Simbachawene akisema kuwa mitambo yote ya uzalishaji umeme nchini inamilikiwa na Kampuni binafsi. Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa taarifa hizi ni za uongo kwani Waziri Simbachawene hajawahi kutoa tamko la kuwa mitambo ya kuzalisha Umeme yote nchini ni...
Read More

Dr. Magufuli Jana Alipiga Kampeni za Kufa Mtu Nachingwea na Mtama Mkoani Lindi


Nachingwea...
Read More

Subscribe to receive free email updates: