Home » Uncategories » Monday, October 12, 2015 LOWASSA Kavunja Rekodi Jijini Mwanza.......Haya Sio Mafuriko, NI GHARIKA. Zaidi ya watu 50 Wamepoteza Fahamu
Monday, October 12, 2015 LOWASSA Kavunja Rekodi Jijini Mwanza.......Haya Sio Mafuriko, NI GHARIKA. Zaidi ya watu 50 Wamepoteza Fahamu
NA CHARLES SHIBITA
HIVI NDIVO ILIVOKUWA LEO MWANZA
Lowassa amelitikisa jijini la Mwanza jioni hii ambapo mwandishi wetu ameshuhudia zaidi ya watu 50 wakipoteza fahamu baada ya uwanja huo kujaa kupita uwezo wake