MJUE SANA MUNGU,ILI UWE NA AMANI, NDIVYO MEMA YATAKAVYOKUIJIA

MauzaUZA: Mwanamke Akutwa Ndani Ya Nyumba Ya Mtu Akiwa Na Tunguri, Hirizi na Madawa..

























































Mama wa nyumba iliyotokea tukio hilo, aliyejitambulisha kwa jina la Mama Neema, alisema asubuhi ya siku hiyo saa 1 asubuhi aliagana na mumewe aliyeelekea kazini kabla ya kufunga milango yote kwa makomeo na kulalayadroph@gmail.com.
 
“Nimeamka saa 2 asubuhi nikamkuta huyo bibi amekaa sebuleni, nikamuuliza wewe ni nani? Unatafuta nini humu na umepitia wapi?, hakujibu kitu ndipo nikatoka nje na kuanza kupiga kelele.
 
“Wakati naendelea kupiga kelele nikakumbuka mwanangu nimemuacha ndani amelala, nikarudi maana nilihisi angemdhuru, wakati nafungua mlango yule bibi alitoka nduki hapohapo watu waliokuwa wamekusanyika nje walianza kumkimbiza.”

Alisema baada ya kubanwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha juu ya picha na madawa na hirizi aliyokutwa nayo, wananchi hao waliamua kuita polisi ambao walimpeleka kituo cha Polisi Misungwi kwa mahojiano zaidi.
Mpekuzi blog
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )





x

Subscribe to receive free email updates: