Breaking News: Wafuasi wa CCM na CHADEMA Wachomana Visu Tunduma.......Watu wawili Wapoteza Maisha
Sad News: Askari Aliyekuwa Akiongoza Msafara wa Magufuli Afariki Dunia Kwa Ajali
Askari wa usalama barabarani aliyekuwa akiongoza msafara wa mgombea urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli amefariki dunia baada ya kugongana na dereva bodaboda katika eneo la Ubungo jijini Dar es salaam.Mkuu wa polisi kitengo cha usalama barabarani DCP Mohamed Mpinga amesema askari huyo alikuwa kwenye pikipiki maalum iliyokuwa ikiongoza msafara wa Dkt Magufuli, ambaye alikuwa akitokea katika hospitali...
Rais Kikwete,Magufuli waongoza wananchi kumuaga Deo Filikunjombe
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mgombea Urais wa tiketi ya CCM Dkt.John Pimbe Magufuli wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015. *****...
Serikali Kulipa Madeni ya Watumishi wa Serikali za Mitaa
SERIKALI imetenga kiasi cha fedha cha Sh. bilioni tano ( 5.93) ikiwa ni madeni ya mishahara ya Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa(TALGWU) na Sh. bilioni nne(4) kwa ajili ya kulipa madeni ya yasiyohusu mishahara, fedha ambazo zitalipwa Oktoba mwaka huu. Kauli hiyo ya Serikali imetolewa leo na Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti...
CCM Na Chadema Watwangana Ngumi....Wachoma Moto Maduka,Pikipiki na Magari
Zikiwa zimebakia siku saba kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, hali ni tete katika Kijiji cha Nyamiyaga, Kata ya Bugomora wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera baada ya wafuasi wanaodaiwa kuwa wa vyama vya CCM na Chadema kupigana kisha kuharibu magari, pikipiki na kuchoma moto maduka. Tukio hilo lililotokea Jumatano kuanzia saa 12.00 jioni hadi saa 4:00 usiku, chanzo kikielezwa kuwa...
Filikunjombe Alivyotikisa Bunge.........Aliwahi Kukusanya Saini Kumng'oa Waziri Mkuu, Alikataa Mabilioni ya Escrow, Alitaka Mawaziri Wazembe Wachapwe Bakora
Deo Filikunjombe akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda *** Bunge la Jamhuri ya Muungano halitamsahau marehemu Deo Filikunjombe, kwa umahiri na ujasiri wa kujenga hoja bungeni na kuikosoa serikali ya chama chake Chama cha Mapinduzi (CCM). Alikuwa hana hofu licha ya nyakati nyingine kuitwa mpinzani. Japokuwa alikuwa mwanachama...
Picha Za Mabaki Ya Chopa Iliyopoteza Uhai wa Mbunge Deo Filikunjombe
Diamond Kushindana Na Mrembo Wa Dunia Toka India, Priyanka Chopra Kwenye Tuzo za MTV EMA 2015
Nyota ya Diamond Platnumz inazidi kung’aa na kumulika hadi nje ya bara la Afrika ambako pia imeanza kukubalika. Siku chache baada ya kushinda tuzo za AFRIMMA, 2015 na Best African Act (MTV 2015), msanii huyo mzawa wa Tandale, Dar es Salaam sasa atashindana na magwiji wa burudani wanaowakilisha kanda mbalimbali duniani akiwemo mrembo wa dunia wa mwaka 2000, kutoka India, Pyanka Chopra...
Magufuli Ahutubia Mkutano Mkubwa Zanzibar.....Picha Zote ziko Hapa
Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Mwongozo.....Wahi Fasta!!!
Kiwanja kinauzwa Kigamboni mwongozo Karibu na Dege village na Nyumba za NHC chenye ukubwa wa mita za mraba 4,000. Kiwanja kipo katika barabara za Mtaa kwenye umbali wa 18KM toka Ferry na mita 800 toka barabara ya lami.Kinafaa kwa ujenzi wa warehouse (Godown),Saiti ya vifaa vya ujenzi na Nyumba za makazi. HAKIJAPIMWA ila nakala za kisheria na za serikali za mtaa zipo. Bei...
Kauli ya Lowassa Kuhusu Kifo cha Deo Filikunjombe
Ni taarifa ya kushtusha sana ya msiba wa mwanasiasa chipukizi na jasiri, Deo Filikonjombe kutokana na ajali ya Helikopta jana jioni(juzi) maeneo ya mbunga ya Selous mkoani Morogoro. Ni pigo lingine kubwa ambalo katika kipindi kifupi Taifa limepata, huku bado likiwa na kidonda cha kuondokewa na wana siasa wengine mahiri,Marehemu Celina Kombani, Dr Abdallah Kigoda na Dr Emanuel Makaidi aliyefariki...